Advertisements

Thursday, August 21, 2014

PICHA ZA KAMATI ZA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO.

 Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Hamad Yussuf Massauni akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake.Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bakari Kishoma.
 Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakijadiliana jambo mara baada ya mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Adam Malima akijadiliana jambo na mjumbe wenzake  John Cheyo mara baada ya mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
 Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakijadiliana jambo mara baada ya mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
 Baadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Kamati Namba 11 wakiwa wanaendelea na kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
 Baadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Kamati Namba Moja wakiwa wanaendelea na kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
 Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Hamad Yussuf Massauni akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake.Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bakari Kishoma.
Mwenyekiti wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Ali Mwalimu(katikati) akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake.Kulia ni Makamu wake ,Profesa Makame Mbarawa na kushoto ni mjumbe wa Bunge hilo, Ali Kessy.(Picha zote na Kamati ya Bunge Maalum la Katiba)

No comments: