Inasemekana Melinda Gates alipewa DVD ya Going Bongo wiki chache zilizopita alipotembelea Tanzania. Je inawezekana hili ndio lililomfanya Bill Gates kufanya ALS "Ice Bucket Challenge" kwa kutumia njia hii?
Tazama hizi video mbili. Moja ya Bill Gates and nyingine kutoka Going Bongo.
No comments:
Post a Comment