Gari la Polisi kwa ajili ya kulinda Usalama lilikuwepo muda wote.
Kenyatta akipata picha na Malingumu katika picha ya pamoja wakati wakiwa kwenye uchaguzi wa DMV pamoja na mtoto Barakat.
WanaDMV wakiwa kwenye kituo cha kupigia kura.
WanaDMV wakijiandaa kupiga kura.
Wapendanao katika picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
No comments:
Post a Comment