Advertisements

Sunday, August 3, 2014

STARS YAFUNGWA NA MSUMBIJI 2-1


Baadhi ya wachezaji wa Stars 

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo imeshindwa kusonga mbele katika kufusu katika mashindano ya Kombe la Afrika 2015 baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Msumbiji Mambas kwa bao 2-1 na kufanya jumla mabao 4-3 baada ya ile mechi ya kwanza iliyochezwaTanzania July 20 na timu hizo kufungana kwa bao 2-2.

1 comment:

Anonymous said...

Hata machinga wanatupiga bao! !!