Taarifa ya mwisho ya Tume ya Uchaguzi iliyowasilishwa kwa Bodi baada ya Tume kuhakiki tofauti zilizodaiwa kuwepo kati ya idadi ya wapiga kura na matokeo, na kuongeza absentee ballots kwa wagombea urais ni kama ifuatavyo.
Uchaguzi wa Rais:
Iddy Sandaly - kura 236
Libe Mwang'ombe - kura 223
Makamu Rais:
Harriett Shangarai - kura 333
Salma Moshi - kura 94
Katibu:
Saidi Mwamende - kura 251
Ismail Mwilima - kura 173
Naibu Katibu:
Bernadetta Kaiza - kura 254
Solomon Cris - kura 167
Mweka Hazina:
Jasmine Rubama - kura 379
Hongera kwa wana DMV wote .
Imetolewa na Bodi ya Jumuiya - Mwenyekiti Mwamoyo Hamza.
4 comments:
Hongera ya nini sasa wiz mtupu��������
Wadau hii kith very simple, Pendekezo langu wanaolalamika wameibiwa, basi wakusanye majina kamili ya watu na anuania zao waaotaka ucahguzi urudiwe, wakiweza kukusanya hayo majina na anuani asilimia 50% ya watu waliopiga kura, wawakabizi tume ya uchaguzi na kabisa uchaguzi utabidi urudiwe. comprende ...
kubali matokeo hivi ndivyo mtakavyo fanya kazi pamoja acheni majungu!
Mpwa acha kubania comments zetu
Post a Comment