ahsante kwa kutafsiri na kidogo tu marekebisho,zebra kwa kizungu kwa Kiswahili anaitwaje vile?punda milia,so itakuwa kivuko cha bunda milia na kwa nini sisi tutumiye maneno haya ya kibaguzi.unajua kwa nini wazungu hawatumii huko kwao majuu maneno haya wanatumia kwetu tu Africa tujiulize. nashauri tu tutumiye kivuko hakuna cha zebra crossing wala nini,wasituletea zao za kuleta.
3 comments:
ahsante kwa kutafsiri na kidogo tu marekebisho,zebra kwa kizungu kwa Kiswahili anaitwaje vile?punda milia,so itakuwa kivuko cha bunda milia na kwa nini sisi tutumiye maneno haya ya kibaguzi.unajua kwa nini wazungu hawatumii huko kwao majuu maneno haya wanatumia kwetu tu Africa tujiulize.
nashauri tu tutumiye kivuko hakuna cha zebra crossing wala nini,wasituletea zao za kuleta.
juice ni maji ya matunda sio sharubati
juice ni maji ya matunda sio sharubati
Post a Comment