ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 26, 2014

VIJIMAMBO NA DARASA LAKE LA KISWAHILI

Microwave-Tanuri la miyale
Juice-Sharubati

Zebra Crossing-Kivuko Milia

Tutaendelea wiki ijayo

3 comments:

Anonymous said...

ahsante kwa kutafsiri na kidogo tu marekebisho,zebra kwa kizungu kwa Kiswahili anaitwaje vile?punda milia,so itakuwa kivuko cha bunda milia na kwa nini sisi tutumiye maneno haya ya kibaguzi.unajua kwa nini wazungu hawatumii huko kwao majuu maneno haya wanatumia kwetu tu Africa tujiulize.
nashauri tu tutumiye kivuko hakuna cha zebra crossing wala nini,wasituletea zao za kuleta.

Anonymous said...

juice ni maji ya matunda sio sharubati

Anonymous said...

juice ni maji ya matunda sio sharubati