Advertisements

Wednesday, August 20, 2014

WACHEZAJI WA LIGI KUU TANZANIA WAKIPATA MENU KILA MMOJA HAPO ANA NDOTO ZA KUCHEZA ULAYA.

Wachezaji wa timu ya Mbeya City, wakipata chakula kwenye moja ya mgahawa katika mji wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi, wakati timu hiyo ilipokwenda kucheza mechi ya kirafiki ya dhidi ya kombanini ya timu za City na Shinyanga United za wilayani humo. Mechi hiyo ilichezwa kwenye Uwanja wa Majimoto na timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. 
PICHA: GODFREY KAHANGO

1 comment:

Anonymous said...

Ulaya kwa ubwabwa na soda ni pagumu.