ANGALIA LIVE NEWS

Friday, August 15, 2014

WASANII WATINGA KASIBANTE FM KUFANYA MAHOJIANO, KUKINUKISHA LEO KAITABA BUKOBA

Dj Slay akiendesha kipindi cha mahojiano na wasanii wanaotarajia kupanda jukwaani leo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Bukoba wakiwa wanamsikiliza kwa makini wakati wa Maswali na majibu kutoka kwa wananchi ndani ya Studio za Kasibante Fm 88.5.
Wasanii wa Bongo fleva wakiendelea kufanya mahojiano na mtangazaji wa Kasbante Fm, Dj Slay.
Msanii wa Bongo Fleva, Madee akijibu maswali ya wasikilizaji kupitia Kasibante FM.
Mr. Blue na Christian Bella wakifurahia jambo.
Barnaba akisikiliza jambo.
Jux, Ney wa Mitego na Mr. Blue wakiwa katika pozi.
Mr. Blue akijibu maswali ya wasikilizaji kupitia Kasibante FM.
Mtangazaji wa Radio Kasibante FM 88.5, Dj Slay akiendesha kipindi hicho.
Wasanii wa Bongo Fleva , Linah akiwa na Recho.

(PICHA NA FAUSTINE RUTA/BUKOBA)

No comments: