Advertisements

Wednesday, August 20, 2014

WAZIRI MARY NAGU AFUNGUA WARSHA YA WAFANYABIASHARA NA WATOA HUDUMA SEKTA YA FEDHA.

 Waziri wa Uwezeshaji katika ofisi ya Waziri Mkuu Mary Nagu akiongea jambo na mshauri wa Tanzania  Private Sector Foundation (TPSF) Dk.Donath Olombi (Kulia ) na Meneja  Biashara wa M-pesa wa Vodacom Tanzania,Asia Mhina (katikati) kwenye warsha  ya kushirikishana uzoefu kuhusiana na kuboresha  huduma za Kifedha kwa wafanyabiashara ndogo na za kati  uliofanyika kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam leo na  kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
 Mkurugenzi mtendaji Mkuu wa Tanzania Private Sector Foundation Godfrey Simbeye  wa pili kutoka (Kushoto) Meneja  Biashara wa M-pesa wa Vodacom Tanzania  Asia Natalia  Mhina(kushot) na Mshauri wa mshauri wa Tanzania  Private Sector Foundation  Dk.Donath Olombi (Kulia) wakimsikiliza jambo Waziri wa Uwezeshaji katika Ofisi ya Waziri Mkuu Mary Nagu, baada ya kuzindua warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha  huduma za Kifedha kwa wafanyabiashara ndogo na za kati  uliofanyika kwenye hotel ya Serena jijini Dar es Salaam leo na kudhamini na Vodacom Tanzania.
  Mkurugenzi mtendaji Mkuu wa Tanzania Private Sector Foundation(TPSF) Godfrey Simbeye akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusiana na warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha  huduma za Kifedha kwa wafanyabiashara ndogo na za kati katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo na kudhaminiwa na  Vodacom Tanzania.
 Waziri wa Uwezeshaji katika ofisi ya Waziri Mkuu Mary Nagu, akiongea na waandishi wa Habari kuhusiana na warsha  ya kushirikishana uzoefu katika kuboresha  huduma za Kifedha kwa wafanyabiashara ndogo na za kati  ulioandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania uliofanyika kwenye hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wakifatili mada wakati wa warsha ya kushirikishana uzoefu  katika kuboresha njia za huduma za Kifedha kwa wafanyabiashara ndogo na za kati  ulioandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation(TPSF)na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
 Baadhi ya washiriki wakifatili mada wakati wa warsha ya kushirikishana uzoefu  katika kuboresha njia za huduma za Kifedha kwa wafanyabiashara ndogo na za kati  ulioandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation(TPSF)na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

 Waziri wa Uwezeshaji katika ofisi ya Waziri Mkuu Mary Nagu akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusu njia za kuboresha  huduma za Kifedha kwa wafanya biashara ndogo na za kati  ulioandaliwa na Tanzania Private Sector Foundation na kudhaminiwa Vodacom Tanzania.

No comments: