Advertisements

Tuesday, August 19, 2014

WPGC WAFANYA MAHOJIANO NA MKURUGENZI WA MISS TANZANIA USA PAGEANT

 Ma Winny Casey akiwa ametinga ndani ya studio za WPGC Washington, DC katika kufanya mahojiano kuhusu Miss Tanzani USA Pageant itakayofanyika mwisho wa mwezi wa Aug kwenye Labor Day weekend
Kwa tiketi Bofya Hapa au piga simu 202-660-8228 au 484-477-6028.
 Mtangazaji Guy Lampert akimfanyia mahojiano mkurugenzi wa Miss Tanzania USA Pageant, Mama Winny Casey siku ya Jumanne Aug 19, 2014 kuhusiana na Miss Tanzania USA Pageant itakayofanyika Aug 30, 2014 Downtown Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
 Ma Winny Casey katika picha ya pamoja na Mtangazaji wa WPGC Guy Lampert.
 Mtayarishaji wa vipindi vya TV  Gil Ingles na Ma Winny Casey wakiwa kwenye mahojiano na mtangazaji Guy Lampert ambao wote Gil Ingles na Guy Lampert watakua washsreheshaji wa Miss Tanzania USA Pageant siku hiyo.
Guy Lampert akiwafanyia mahojiano Ma Winny Casey na Gil Ingles (hawapo pichani) ndani ya studio za WPGC jijini Washington, DC.
 MsTZ2014Final

No comments: