ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 24, 2014

AUNT EZEKIEL NA CASSIM MGANGA WATEMBELEA AFRICAN ROOM NYUMBANI KWA DR TEMBA

Aunt Ezekiel akiwa na Cassim Mganga Nyumbani kwa Dr Temba, Brooklyn, NY hapa wakipata ukodak ndani ya Africa Room.
Kwa Picha zaidi bofya

2 comments:

Anonymous said...

Ibra unafanya kazi nzuri sana kuwaonyesha wasanii kwa Tanzania kwamba huku ni nyumani kwao na sisi tulioloko huku hatujasahau utamaduni wetu.

Anonymous said...

nimependa hicho ki-kabati cha kwa corner. ngoja niki-google