ANGALIA LIVE NEWS

Monday, September 1, 2014

FASHION SHOW YANOGESHA SOKA FESTIVAL MASSACHUSETTS

Maonyesho ya mavazi ya kwenye Soka Festival yalizidi kunogesha siku hiyo na kuifanya iwe ya aina yake mbali na maonesho hayo pia kulikuwepo na mashindano ya vipaji kwa watoto ambavyo vilionesha jinsi gani watoto wa Kitanzania waishio Marekani walivyo na vipaji mbalimbali hasa vya kuimba.
Watoto wakifanya onesho la mavazi.
 
Walimbwende nao wakifanya vitu vyao.
Watoto nao hawakua nyumba kwenye maonesho ya mavazi
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

No comments: