Advertisements

Monday, September 1, 2014

PICHA ZINGINE ZA SOKA FESTIVAL MASSACHUSETTS

 New Yorkers wakiwa kwenye benchi lao kama walivyokutwa na kamera ya Viji wakiwa miongoni wa Watanzania waliohudhuria sherehe ya Soka Festival iliyofanyika Massachusetts nchini Marekani siku ya Jumapili Aug 31, 2014
 Wakaazi wa New York wakipewa heshima kubwa ya kukata keki na wenyeji wao yote ni katika kunogesha sherehe ya Soka Festival iliyofanyika siku ya Jumapili na kuhudhuriwa na Watanzania kutoka majimbo jirani.
 Mkuu wa Wilaya ya Springfield, Alhaji Isaac Kibodya akimkabidhi kocha wa timu ya mpira wa miguu ya New York, Salim Akida mpira kama ishara ya ushirikiano na ujirani mwema baada ya mechi yao na wenyeji ambapo Massachusetts waliibuka na ushindi mnono wa mabao.
 Kocha wa New York Salim Akida akimshukuru Mkuu wa Wilaya, Alhaji Isaac Kibodya kwa zawadi ile.
Watanzania wakipata picha ya pamoja.


2 comments:

Anonymous said...

mmezitoa picha zinginewe mmeona haya tulivyokusemeni kuhusu kuvaa misaraaba.wenzako wenye dini yoa hawajavaa wewe motto wa kizaramu kimbele mblele cha ushamba wa marekani tuu ndo uliokujaaaa.

na hii pia zibaaa

Anonymous said...

majanga!!wewe uloandika ndo umejitia kimbele mbele maskini... hamna mtuu alova mstaraba apaa . just to clarify... its a sword you lowlife fool.it may look like a rosemary bead but unfortunately you were 100 percent wrong
kind regards ,