Advertisements

Monday, September 22, 2014

FRIDA MTEI NA LAVORN CRYOR WAMEREMETA

Frida Mtei na Lavorn Cryor wakipata picha ya pamoja kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Jumampili Sept 21, 2014 katika ukumbi wa La Fontaine Blue uliopo Lanham, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka sehemu mbalimbali akiwemo mama mzazi na ndugu zake Bi. harusi kutoka Tanzania.
Bwn. na Bi harusi wakiingia ukumbini kusherehekea harusi yao iliyofanyika siku ya Jumampili Sept. 21, 2014 katika ukumbi wa La Fontaine Blue uliopo Lanham, Maryland nchini Marekani.
Wapambe na wasimamizi katika picha ya pamoja na maharusi mara tu walivyoingia ukumbini.
wapambe na wasimamizi katika picha ya pamoja.
Bwn Harusi ampa keki mama mzazi wa Bi harusi
Bwna harusi akitoa gata kwa Bi harusi.
Dansi ya kwanza ya maharusi kama mume na mke.

Mwenyekiti wa Kamati Julius Manase akiongea machache na kuwashukuru wanakamati wenzake kwa kazi nzuri iliyowezesha sherehe ya harusi ya Frida na Lavorn kufanikiwa
Picha na Aloyce Mbullu wa Vijimambo, Maryland.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mmoja ya wanakamati akiingia kwa mbwembwe zote na makidai baada ya kufanikisha harusi ya Frida na Lavorn.
Mrs Mtei mama mzazi wa Bi harusi.

No comments: