Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Comoro katika Uwanja wa Ndege wa Comoro baada ya kumaliza Ziara ya siku nne kwa mualiko wa Serikali hiyo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu Zanzibar.ANGALIA LIVE NEWS
Friday, September 19, 2014
DKT. SHEIN AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI COMORO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Comoro katika Uwanja wa Ndege wa Comoro baada ya kumaliza Ziara ya siku nne kwa mualiko wa Serikali hiyo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu Zanzibar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment