Advertisements

Monday, September 22, 2014

HUYU NDO MSHIRIKI MWINGINE MWANAMKE TOKA TANZANIA ANAYE KWENDA BIG BROTHER AFRIKA ANAITWA LAVEDA

M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.
Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka.

No comments: