Kiongozi wa JENGA Tanzania Foundation, Bwana Nassor Basalama katika sherehe ndogo nyumbani kwa balozi. Akimkabidhi balozi mulamula taarifa ya mradi wa vipimo vipya vya upimaji wa ugonjwa wa malaria, uliongozwa na wajumbe wa bodi ya JENGA, Dr.Abuu Diwani na Dr. Habib Ramadhan.
No comments:
Post a Comment