Advertisements

Tuesday, September 16, 2014

KUMBUKUMBU YA MAREHEMU JAMES LUHANGA MARYLAND NCHINI MAREKANI

Eliza Luhanga aakijumuiaka na baadhi ya Watanzania DMV katika misa ya kumbukumbu ya marehemu baba yake Mzee James Luhanga iliyofanyika siku ya Jumapili Sept 14, 20114 iliyofanyika Silve SPRING, maryland nchini Marwkani
Padri Honest akiendelea na misa

Padri Henest Munishi akiendesha misa ya kumbukumbu ya marehemu James Luhanga.

Mtoto wa marehemu Eliza Luhanga na ndugu, jamaa na maerafiki wakifuatilia Misa ya Ibada ya kumbukumbu ya marehemu James Luhanga.

Msanii wa Bongo Flava Cassim Mganga akijumuika na ndugu, jamaa na marafiki wa Eliza Luhanga kwenye misa ya Ibada ya kumbukumbu ya marehemu Mzee James Lunga.
Kushoto ni Aunty Ezekiel msanii wa bongo movi nae akijumuika kwenye misa ya Ibada ya kumbukumbu ya mzee James Luhanga

kwa picha zaidi bofya soma zaidi




No comments: