KAMATI YA LUGHA NA UTAMADUNI
Kamati ya Lugha na utamaduni, Jumuiya ya Watanzania
Washington DC, Maryland na Virginia (DMV) inapenda kuwaalika wana DMV na wadau
wote wa Lugha ya Kiswahili kwenye mkutano na viongozi wa Chama cha Ukuzaji wa
Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) utakaofanyika siku ya Ijumaa Septemba 26, 2014
kuanzia saa nane mchana. Hii ni Fursa ya kukutana wa Wahadhiri wa lugha ya
Kiswahili kutoka Vyuo mbali mbali hapa Marekani kwa lengo moja la kuendeleza
lugha yetu ya Kiswahili. Anuani ya Ukumbi wa Mkutano vitafuata baadaye.
Tunaomba wale mtakaoweza kuhudhuria kujiandikisha na kama
unaswali pia wasiliana kupitia Mwanakamati na Kiongozi wa
Jumuiya ya Watanzania hapa DMV wafuatao hapo chini:
Mwanakamati Mkuu: Bi. Asha Nyang’anyi (301)
793-2833
Makamu Katibu ATC-DMV : Mhe. Bernadeta Kaiza 240-704-5899
No comments:
Post a Comment