Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Prof. Ruth Meena (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi na wajumbe wengine wa mtandao wa wanawake na Katiba. Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari. Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo. Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo. Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari. Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo. Baadhi ya waandishi wa habari na Wajumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania wakiwa katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment