Advertisements

Sunday, September 14, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA MOSHI SIKU YA IJUMAA

Bondia Elick Mwenda kushoto wa Malawi akikwepa ngumi wakati wa mpambano wake na bondia Allybaba Ramadhani uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Allybaba alishinda kwa pointi mpambano huo 
Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne 
Allybaba Ramadhani
Bondia Raymond Mbwago kushoto akipambana na Iddi Pialali wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi katika ukumbi wa YMCA Hall Pialali alishinda kwa K,O ya raundi ya Nne 
Bondia Shomari Milundi kushoto akipambana na Saimoni Zabron wakati wa mpambano wao uliofanyika Moshi mpambano huo walitoka Droo ya kufungana point 
Shomari Milundi kushoto na Simon Zablon wakinyooshwa mikono juu na refarii Pembe Ndava kuashiria Doroo 
Bondia Said Yazidu kushoto akipigwa ngumi na Djamal Dahou wa Algelia Dahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza ya mpambano huo 
Bondia Djamal Dahou wa Algelia akipambana na 
Said YaziduDahou alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza
picha na SUPERD BLOG

No comments: