Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina hiyo na wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo, kutoka kushoto ni Bona Masenge Afisa Sanaa BASATA, Frora Mgonja Afisa Utawala BASATA na Deogratius Nchimbi Afisa Sheria BASATA wakishiriki katika semina hiyo.
Baadhi ya maofisa wa shirika hilo wakiwa katika semina hiyoBaadhi ya wasanii wakiandika mambo muhimu yaliyokuwa yakijadiliwa katika semina hiyo
Mshairi aliyeng'ara na Kundi la Wagosi wa Kaya, Fred Maliki 'Mkoloni'akichangia mada katika semina hiyo
Baadi ya wanamuziki wa muziki wa dansi wakiwa katika semina hiyo.Mwimbaji wa muziki wa taarabu Siza Mazongela alikuwa ni mmoja wa wasanii walioshiriki katika semina hiyo.
Mmoja wa washiriki wa sanaa ya filamu akiuliza swali. Baadhi ya maofisa kutoka mfuko wa LAPF ambao nao walitoa mada katika semina hiyo
No comments:
Post a Comment