Fr. Shao wa kanisa la Katoliki Baltimore anayeongoza Parokia hiyo pamoja na misa za Kiswahili DMV akiwa na Padre anayechukua nafasi yake Fr.Honest Munishi Jumapili katika ibada maalum ya kumwaga Padre Shao iliyofanyika huko Baltimore Maryland, Fr.Evoda Shao baada ya kuhudumu kwa miaka 9 sasa anarudi kuendelea na huduma nyumbani Tanzania.
Mapadre wakiongoza ibada.
Balozi wa Tanzania Washington Dc na Mexico Mh.Liberata Mula mula akitoa maneno ya kumuaga Fr.Evod Shao.
Mwakilishi kutoka ofisi ya Meya wa Baltimore akitoa hotuba ya kumuaga Fr.Shao.
Mwambata wa jeshi Washington Dc na Canada Kanali Adolph Mutta na mkewe wakifuatilia ibada hiyo.
Baadhi ya Watanzania waliohudhuria ibada.
Harriet Shangirai makamu rais wa Jumuiya ya watanzania -DMV akiwa na mumewe Bw.Dan, kushoto ni Brian Daudi.
Kulia Mzee Safari akiwa na mkewe.
Kulia ni katibu wa Jumuiya ya watanzania Bw.Said Mwamende.
Mwenyekiti wa jumuiya ya wakatoliki DMV Bw.Pius Mutalemwa nyuma yake ni naibu katibu wa jumuiya ya watanzania Bi.Bernadeta Kaiza na mwanae.Kwa picha zaidi ungana na http://sundayshomari.com/
1 comment:
I am going to miss father Shao, ni mtu social sana
Post a Comment