Advertisements

Wednesday, September 10, 2014

Q-CHILLAH: CHUJI, NIYONZIMA NA MANGWAIR NDIYO WALIOOKOA MAISHA YANGU

Mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva, Aboubakar Shaaban Katwila ‘Q- Chillah’, katika mahojiano yake na Global TV Online sehemu ya PILI amefunguka mambo kibao yakiwemo haya:
Chillah akifikiria jambo wakati akihojiwa na Global TV Online.
- Safari yake ya maumivu
- Maamuzi ya kutaka kujiua ambapo amewataja Athuman Idd Chuji, Haruna Niyonzima na Marehemu Albert Mangwair kuwa ndiyo waliomnusuru asijiue
- Kuhusu kurogwa, Q-Chillah amekanusha kuwa hajawahi kutamka hayo maneno wala kumtaja mtu yeyote
Q-Chillah akionyesha Cd ya wimbo wake mpya uitwao 'Nipende Nikupende' aliofanya na MB Dog. 

- Aelezea hisia za baba yake
- Kuvunjika kwa Top Band
- Pia amefunguka kuhusu kifo cha rafiki yake Adam Kuambiana 
- Kuhusu ujio wake mpya
- Game ya muziki anavyoiona baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu

1 comment:

Anonymous said...

mungu akubariki sana Q chillah, Piga msalaa kwa sana babakeee.ndo itakuwa dira yako ya mungu kukuongo za zaidi ili usingiye katika majanga haya tena.
karibu tena kwenye game mungu akubariki sana .