Advertisements

Friday, September 26, 2014

RAIS WA KENYA ALIVYOKUTANA NA WAKENYA HYATT HOTEL NEW YORK CITY

MH. Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa amesimama kwenye meza kuu baada ya kuingia kwenye ukumbi wa Hyatt hotel tayari kwa kuongea na wananchi wake wa Kenya washio New York na miji ya jilani, kushoto kwa Mh. Rais ni first Lady Margaret Gakuo Kenyatta.
Mh. Rais Kenyatta akiongea mbele ya wananchi wa Kenya kwenye mkutano uliofanyika  Hyatt hotel New York City. Mh. Kenyatta aliongea mambo mengi na kati ya mambo hayo ni jinsi gani angependa wananchi wake warudi nyumbani na kutoa changamoto za kimaendeleo kwani nafasi wanayo na watapewa kipaumbele kutoa mchango wa kuiendeleza nchi yao kwa hali na mali.
Meza kuu ya waheshimiwa

H.E. Mr. Macharia Kamau - Kenya Mission to the UN akiongea machache.

H. E. Ambassador Koki Muli Grignon
Deputy Permanent Representative, Kenya Mission to the United Nations – New York mdiyo alikuwa (msema chocho) au MC wa mkutano huo.
Wakenya walijitokeza kwa wingi kuja kumsikiliza rais wao
Hapa wakiimba wimbo wa taifa lao kabla ya mkutano kuanza kama heshima kwa taifa lao na watu wote walisimama.
w
Kulisomwa sala kutoka dini mbili za Islam na Kristo baada ya wimbo wa taifa
Hapa wakisikiliza swala kutoka kwa Ustadh 
Hapa ni wana kwaya wakitoa burudani ukumbini hapo, kwa picha zaidi ya mkutano huo uliokuwa unarushwa live na Vijimambo Blog kwa kushirikiana na Border Media Group nenda soma zaidi. Vijimambo Blog watarusha tena live mkutano wa Mh. Rais Kenyatta leo hii kuanzia saa 8 mchana hadi saa 10 jioni kutoka  Lowell Massachusetts. 
 


No comments: