Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Kibiashara cha Kimataifa Internationali Trade Center ICT Bibi Arancha Gonzalez walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Kibiashara cha Kimataifa International Trade Center,ICT Bibi Arancha Gonzalez akiwa na ujumbe wake jana katika jingo la mkutano wa Tatu wa kimataifa wa nchi za Visiwa.
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa makumbusho ya Taifa nchini Samoa Mainifo Viliamu,alipotembelea jana akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwa ziarani huko katika mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyeekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Ujumbe wake wakianagalia vitu mbali mbali katika makumbusho ya Taifa la Samoa jana walipotembelea,Rais akiwa huko katika Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa.
Picha na Ramadhan Othman,Samoa
No comments:
Post a Comment