Advertisements

Sunday, September 28, 2014

SIMBA YAVUTWA SHARUBU NA POLISI MOROGORO

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akishangilia bao aliloifungia timu yake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Polisi ya Morogoro uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam siku ya Jumamosi Sept 27, 2014. Kushoto ni Ramadhani Singano 'Messi'
Golikipa wa Polisi Morogoro, Abdul Ibad akijaribu kuokoa bila mafanikio kiki iliyopigwa na mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Okwi akiipangua ngome ya Polisi Moro.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Polisi Morogoro, Lulanga Mapunda wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe akiwa katikati ya wachezaji wa Polisi Morogoro,  Lulanga Mapunda (kushoto) na golikipa wa timu hiyo, Abdul Ibad  wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 Kipa wa Polisi Moro akipata matibabu baada ya kuuimia.Picha na Francis Dande,Globu ya Jamii.

No comments: