TANGAZO MAALUM KUTOKA TAWI LA CCM NEW YORK
Tangazo maalum: uongozi wa tawi la CCM New York limemteua ndugu Sefu Akida kushika nafasi ilio wazi ya katibu wa tawi la CCM New York. Kabla ya kushika wadhifa huo ndugu Akida amekuwa kiongozi aliestari wa mbele kusimamia masuala ya chama. Imetolewa na viongozi CCM New York.
5 comments:
Congratulation Akida
Akida looks like the President: new York is hungry for Tanzanian political leadership: His first task is to Fight for Duo citizenship for all.
Hivi nyie watu huwa mnawaza madaraka bila kuonyesha kuwa mnaweza kuwa viongozi??
Hiyo ilikuwa nafasi ya nani?
Mbona mnapenda kufanya vitu vya kufichaficha na unafiki tuu??
Kwani katibu alikuwa nani na imekuwaje??
Mbona Mimi Mwana CCM NY/ NJ sina habari hiyo !! Acha pupa Bwana Sefu Akida !! Unapora nafasi!! Aliyekuchagua nani ??? Au ni michango ??
kwani bwana au bibi wa ccm ny nj unajua katibu wa ccm anachaguliwa nanani kuna nafasi nyingi zakugombea ambazo ziko wazi ina elekea hujui jambo lolote kuhusu ccm ny kama wewe nimwana ccm basi ungewafuata wana ccm wenzako kuulizia hili swala sio kujificha nakutoa comment hii ni haki yako usikae pembeni na kulaumu kwenye viji mambo ccm oyeee
Post a Comment