ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 3, 2014

WAMILIKI, WAOMBAJI LESENI ZA MADINI WATAKIWA KUFUATA TARATIBU

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisaini moja ya leseni za uchimbaji madini kwa wamiliki waliokidhi vigezo vya kupatiwa leseni. Anayeangalia ni Mwanasheria Wizara ya Nishati na MadinI Phines Sijaona.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akimsikiliza mmoja wa waombaji wa Leseni za uchimbaji madini, Mark Stanely mmiliki wa kampuni ya Bafex Tanzania Limited (Kanda ya Kusini Magharibi) wakati wa kikao cha kusaini leseni za uchimbaji madini zilizokidhi vigezo
Kamishna Msaidizi anayeshughulikia Leseni, Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi John Nayopa, akifafanua jambo kwa wamiliki wa kampuni ya Gemini Exploration & Mining Service Limited mara baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo kumaliza kusaini leseni hizo.

No comments: