Advertisements

Wednesday, September 24, 2014

Watoaji wa gesi ya ukaa wawajibike kwani tayari Afrika imeanza kuchukua hatua: Kikwete


Rais Jakaya Kikwete akihojiwa na Radio ya Umoja wa Mataifa. (Picha:UM/Joseph Msami)

Hatimaye mkutano wa wakuu wa nchi na serikali uliofanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjiniNew York, Marekani ukiangazia hatua madhubuti zinazopaswa kuchukuliwa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi umefikia ukomo wake.

Mkutano huo wa siku moja ulitoa fursa kwa viongozi kutangaza hatua na suluhu la jangahiloambalo tayari madhara yako yako bayana kwa nchi tajiri na maskini.

Miongoni mwa viongozi walioshiriki ni Rais Jakaya Kikwete waTanzaniaambaye katika hotuba yake akiwasilisha bara la Afrika alitaja mambo ambayo Afrika inahitaji wakati ambapo tayari yenyewe imeshaanza kuchukua ni hatua.

Assumpta Massoi wa Idhaa hii alizungumza na Rais Kikwete baada ya hotuba hiyo na kumuuliza mambo hayo ni yapi?

KUSIKILIZA BOFYA HAPA

No comments: