Advertisements

Tuesday, September 16, 2014

Young Africans Sports Club


Young Africans inawashukuru sana wapenzi washabiki na wanachama wake waliojitokeza kwa wingi jana katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC.

Morali ile jana iendelee pia katika michezo inayofuata tukianza na mechi ya Ufunguzi wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar siku ya jumamosi katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

Daima Mbele Nyuma Mwiko...

No comments: