Advertisements

Sunday, October 5, 2014

BALOZI ALI KARUME AKIPATA PICHA NA BAADHI AFISA UBALOZI NA VINGOZI WA TAMCO NA WATNZANIA WENGINEO

Balozi Ali Karume (katikati mwenye suti nyeusi) na Kanali Ruta ( wapili kutoka kulia) katika picha ya pamoja na baadhi ya vingozi wa TAMCO, Tanzania Muslim Community, DMV
 Watoto wa kitanzania wakiwa na wageni waalikwa na viongozi  wa TAMCO katika picha ya pamoja, TAMCO haiko nyuma kuwaandaa watoto wao ili kuhakikisha urithi huu watauendeleza baadaye

 Meya wa DC, Saleh Mohammed katika  na balozi Ali Karume kulia iliopigwa katika sherehe za Eid iloandaliwa na Tanzania Muslim Community TAMCO
Shamis Abdalla na balozi Ali Karume kulia iliopigwa katika sherehe za Eid iloandaliwa na Tanzania Muslim Community TAMCO

1 comment:

Anonymous said...

NAJIULIZAGA HIVI KWA NINI WAKUU WA CCM WANAKUJA SANA D.C/MARYLAND? KIMEZIDI NINI HUKO KWA WATANZANIA WA HUKO? NA DICOTA ETC NAJIULIZAGA SANA JAMBO HILI SIPATI JIBU.LAKINI NAYO MAJIBU KICHWANI NISIYOKUWA NA UHAKIKA NAYOO.