Advertisements

Thursday, October 30, 2014

BALOZI SEIF AIPIGA JEKI UNIQUE LEARNING SCHOOL

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seiof Ali Iddi akikabidhi Seti ya Kompyuta na Printa yake kwa Uongozi wa Unique Learning School iliyopo Upenja Wilaya ya Kaskazini “ B”.
Balozi Seif akiwasisitiza wanafunzi wa Unique Learning School kujitahidi katika masomo yao ili kujijengea hatma njema ya maisha yao ya baadaye kielimu.
Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na uongozi na wanafunzi wa Unique Learning School mara baada ya kuwakabidhi Kompyuta kutekeleza ahadi aliyoupa uongozi wa skuli hiyo.

No comments: