Advertisements

Tuesday, October 21, 2014

BONDIA FADHILI BOIKA AJINOA KUMKABILI GODFREY SILVE

Bondia Fadhili Boika kushoto akipambana na Shomari Milundi wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika ukumbi wa garden mburahati ya kujiandaa na mpambano wake wa Oktoba 25 kumkabili bondia Godfrey Silve katika ukumbi wa frends corne manzese Dar es salaam 
Bondia Fadhili Boika kushoto akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mazoezi yake yaliyofanyika katika ukumbi wa garden mburahati ya kujiandaa na mpambano wake wa Oktoba 25 kumkabili bondia Godfrey Silve katika ukumbi wa frends corne manzese Dar es salaam 
Msimamizi wa mazoezi kutoka 'King Class Team' Bilali Ngonyani kushoto akimsimamia kupiga gab bondia Fadhili Boika wakati wa masoezi yake ya kujiandaa kupambana na Godfrey Silve mpambano utakaofanyika oktoba 25 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaa 
ambaye ni msimamizi wa gym ya garden iliyopo kigogo mburahati walipokuwa wanafanyika mazoezi jana
Kocha Mohamed Mbadembade kushoto akiwaelekeza mabondia godfrey Mbwalu kulia, Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Shomari Malundi na Fadhili Boika baada ya kumaliza mazoezi katika ukumbi wa Garden Kigogo Mburahati 
MABONDIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUMALIZA MAZOEZI YAO KATIKA UKUMBI WA GARDEN KIGOGO MBURAHATI DAR ES SALAAM

No comments: