siku moja wakati Naseeb hajatoka alikuwa golini anauza mitumba akapita Kiba alitamani siku moja awe kama Kiba au Blue.
Now ndoto yake imetimia, hii yote sababu yakujituma. Nakumbuka kuna siku Tuddy Thomas aliniambia Chibu alipiga mazoezi studio mpaka sa tisa usiku mpk akapitiwa na usingizi,kwanini asifanikiwe? Ukiniuliza nani zaidi ntasema wote, Kiba ni mkali sana kwa utunzi na vokal akiimba live kwa steji & Chibu na dancer wake wanatifua steji na ni mtunzi na anachana pia ....
No comments:
Post a Comment