Advertisements

Saturday, October 25, 2014

HIVI NDIO STAND UNITED ILIVYOINGIA UWANJANI


Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United.

4 comments:

Unknown said...

Style mpya uwanjani hakuna kitu

Anonymous said...

Hii kweli Ni halali? Usalama wa watu uko wapi? Na mbuge naye katiba mpya nayo inasema kusoma na kuandika ndioo kigezo tujiande kuona mengi...

Anonymous said...

Dah! Hii inasikitisha, kwanza ni hatari kiasi gani kupanda catapilar mtu zaidi ya dereva. Bado watu kwenye kijiko juu kabisa. To make it worse na mbunge wao hakuona kwamba tukio hilo ni hatari na kinyume cha sheria hivyo nae akaamua kuungana nao. Ndugu zangu wa Tanzania, hivi tunaangalia kigezo gani kuchagua viongozi. Kama mheshimiwa mbunge mwenyewe anaungana anaungana na watu kuvunja sheria na kuhatarisha maisha yao, nani inabidi kumuongoza mwenzake kama wote ni vipofu. Yani this is a sad case ndugu zangu wa Tanzania.

Unknown said...

Sioni ubaya kuingia na caterpillar kwakuwa ni moja ya mbwembwe za kimichezo na hawakutoka mbali ya eneo husika na hilo tingatinga lina uwezo wa kubeba uzito mkubwa zaidi ya hao wachezaji na mbunge wao. Ila pamoja na mbwembwe kama hizo, je wanaonyesha uwezo kama wa hilo caterpillar? Mmetumia caterpillar kama usafiri au kama ishara ya uwezo? Sioni mantiki ya kutumia caterpillar ilihali ninyi ni wepesi tu watoto walaini hamwonyeshi upinzani uwanjani tuwaelewe vp! Mna lakujifunza kwa mbeya city la sivyo mtakanyagwa tu uwanjani mwishoni mnaaga ligi. Nilitamani kuwa shabiki wenu ili usimba na uyanga upungue