Friday, October 3, 2014

IBADA YA DADA ANGELA MCHOROPA


Misa ya kusheherekea maisha ya dada yetu 
ANGELA MCHOROPA itafanyika siku ya JUMAMOSI 10/04/2014 SAA TISA JIONI. Ni matumaini yetu kuwa mtashirikiana nasi katika misa kumuombea dada yetu. 

Misa itafanyika katika anuani ifuatayo

GETHSEMANE CHURCH
35 EAST STANTON AVENUE
COLUMBUS OHIO 43214

Karibuni wote na tunaomba tuzingatie muda.

Ahsanteni.

No comments: