Hamida akiwa kwenye kisomo cha mama yake kilichofanyika siku ya Jumamosi Oct 11, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Hamida akiwa na rafiki yake Lilian walipokua kwenye kisomo cha mama yake Hamida.
wakina mama wakijumuika na Hamida kwenye kisomo cha mama yake kilichofanyika Jumamosi Oct 11, 2014.
Kisomo kikiendelea siku ya Jumamosi Oct 11, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Akina mama wakijumuika kwenye kisomo cha mama yake Hamida.
Kisomo kikiendelea.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment