Balozi wa AU Mhe. Amina Salum Ali (watatu kushoto) akikata utepe kuzindua kituo cha maendeleo ya kanda na mashirikiano Afrika kilichozinduliwa leo Alhamisi Oktoba 30, 2014 katika chuo kikuu cha Chicago State kilichopo jimbo la Illinois baada ya uzinduzi huo ulifuatiwa na mkutano wa utafiti uliowashirikisha wataalamu na maprofesa wa vyuo mbalimbali kutoka ndani na nje ya Marekani katika nyanja mbalimbali ikiwemo uwekezaji, hali ya hewa, maswala ya maendeleo ya vijana na maswala mengine ya mashirikiano. Picha zingine baadae

No comments:
Post a Comment