Advertisements

Monday, October 13, 2014

LORI LA MAFUTA LAPINDUKA NA KUWAKA MOTO MBAGALA
Taarifa zilizotufikia hivi punde lori la mafuta limepinduka Mbagala rangi tatu wilayani Temeke mkoani Dar es Salaam na kuwaka moto uliosababisha nyumba kadhaa kuteketea kwa moto na kusababisha watu wanaokadiriwa 50 kupoteza maisha. Ajali ya lori imetokea mida ya saa 5 usiku saa za Tanzania Vijimambo tunafuatilia kwa karibu swala hili na tutawajuza taarifa kamili baadae 

No comments: