Advertisements

Friday, October 3, 2014

Mpigie kura Mtanzania huyu ashiriki filamu ya Forest Whitaker

Mtanzania Ernest Napoleon ambaye ndie muigizaji mkuu wa filamu ya Going Bongo, yupo katika mchakacho wa kushirikishwa katika filamu mpya ambayo itatayarishwa na kampuni ya muigizaji maarufu wa Marekani Forest Whitaker iitwayo "The Driver". Muigizaji mkuu wa filamu hiyo atapatikana kwa kupigiwa kura kupitia tovuti ya kampuni hiyo.

Kumpa saport Mtanzania huyo ili aweze kucheza katika filamu hiyo "The Driver" na kuendelea kuipeleka Tanzania katika level za Hollywood una bofya link hiyo hapo Bit.ly/castErnest
Kisha una log in kwa kutumia Facebook account. Unabonyeza "newest" Unasukuma chini kidogo (mstari kama wa arobaini na tatu). Unaibeba picha yake (drag) hadi kwenye kibox kilichopo juu na kuipachika.




No comments: