Mtoto wa Naibu Waziri wa Afya wa zamani Jonas Nkya
Jonas Nkya amesema kilichotokea alipokwenda ofisini hapo kuchukua gari alielekee shamba bastola ilidondoka chini na ikajifyatua risasi moja na kuzua taharuki kwa watu. Kwanza mimi sina ugomvi wowote na mama yangu mimi nilikua shamba narudi nashangaa nimezungukwa na waandishi wa habari wakitaka kujua ukweli wa habari hizi.
Mimi nashanga habari zilizozagaa kwenye mitandao zimetokea wapi.
1 comment:
mazishi tu huyu mkuu tapeli mkubwa pale mji kasoro bahari njooni mujione wenyewe mkinunu gari kutoka kwake.
tamaa za urithi wa mali unamuhangaisha.roho ya uchuu tuu.
Post a Comment