Advertisements

Tuesday, October 14, 2014

PICHA YA LEO




Huyo ndiyo mwalimu enzi za kudai uhuru enzi hizo kweli tuna aja ya kumuenzi katutoa mbali na tena hata viatu mguuni akuwanavyo.

6 comments:

Anonymous said...

Will pray&respect this man till the last days of my being!!!

Anonymous said...

Get your facts right maana hapo bango limesema youth wanaunga mkono azimio la Arusha kwa maana hiyo, picha ni ya baada ya uhuru maaana azimio la arusha lilikuwa mwaka 1967 na si wakati wa kudai uhuru

Anonymous said...

Bottom line,he's the Father of the Nation. Message delivered!!!

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

aliwekwa kama kiraka historia ya waliopigania uhuru wanajulikana, unyonge wao ndio umewafanya wasijul;ikane, na nyerere kwa vile aliweza kuwa mtawala na aliweza pia kujitengenezea mazingira ya kuonekana yeye alikuwa mbele

Anonymous said...

no body like him and he cant get any like him.waliobaki ni mafisadi na wachumia tumbo na wasaka tonge.

kila binadamu ana kasoro zake hakuna aliyekamilika but amejitahidi hajakuwa fisadi kama tulio nao hivi sasa madarakani. so I salut mwalimu nyerere for ever.kawalea watoto wake vizuri hajawalea kifisadi fisadi kama tunavyo waona watoto wa wakuu wetu hivi sasa.

pumzika mahali pema mwalimu nyerere utakumbukwa daima kwa mema uliyoyatenda;na pia tunakusamehe ulipokosea.