Advertisements

Tuesday, October 14, 2014

RAIA WAMSHAMBULIA TRAFFIC WA UBUNGO KWA KUSABABISHA AJALI HIYO NDIYO BONGO


Wananchi waliokuwepo eneo la Ubungo leo mchana wamemshambulia askari wa usalama barabarani kwa kile walichodai kuwa amesababisha ajali. Watu hao walianza kumshambulia askari huyo huku wakimtwanga mangumi na kumchania sare yake ya kazi kama anavyoonekana pichani.

1 comment:

Anonymous said...

Huu ni ukosaji wa nidhamu. Madereva wengi hawako makini barabarani pia. sasa wenyewe wamejuaje yakuwa Traffic ndo kasababisha ajali! Ustaaraabu kwetu bado uko nyuma sana tunapenda kupiga piga watu.