Advertisements

Saturday, November 1, 2014

Semina ya Neno la Mungu.

Mhubiri:       Mchungaji Grace Gwajima kutoka Glory of Christ Church Tanzania
(Ufufuo na Uzima)

(Grace gwajima ni mke wa Josephat Gwajima ambaye ni askofu na mchungaji kiongozi wa kanisa)

Kutakuwa na maombi kwa watu wenye mahitaji mbali mbali.

Muda:            Saa  10 jioni mpaka saa 1 usiku.
Jumamosi , 1st November1 , 2014

Mahala:         Hampton Inn
                        9670 Baltimore Ave, College Park.  Maryland.

                       
                        Pia kutakuwa na viburudisho baada ya huduma.
                        Wote mnakaribishwa.
                        Kwa maelezo zaidi piga 240 898 8520

No comments: