Advertisements

Wednesday, October 1, 2014

TASWIRA MBALIMBALI ZA MASHINDANO YA SHIMIWI YANAYOENDELEA MJINI MOROGORO‏

Marefa wa timu za netiboliu wakijiandaa kufanya kazi yao.
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulikuwepo kwenye viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro kwa ajili ya watumishi wa Umma kupima afya zao.
Baadhi ya wateja waliotembelea banda la NHIF wakipata huduma.
Timu ya kamba wa Wizara ya Ujenzi ikivutana na timu ya kamba ya Wizara ya Afya (haipo pichani) katika viwanja vya Jamhuri.
Timu ya kamba wa Wizara ya Afya ikivutana na timu ya kamba ya Wizara ya Ujenzi.
Timu ya kamba ya Ikulu ikivutana na timu ya kamba ya Utumishi (haipo pichani) katika mashindano ya SHIMIWI yanayofanyika viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro.
Watazamaji wakifuatilia mechi hizo katika viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro.
Timu ya Netiboli ya Mkoa wa Simiyu ikifanya mazoezi mepesi kabla ya kuanza mechi viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro.
Timu ya kamba ya Geological Survey Tanzania (GST) ikimenyana na timu ya Wizara ya Kilimo (haipo pichani) katika mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro.
Timu ya kamba ya Utumishi ikivutana na timu ya kamba ya Ikulu (haipo pichani) katika mashindano ya SHIMWI yanayofanyika viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro.

No comments: