Advertisements

Sunday, November 2, 2014

UCHAGUZI WA NAFASI YA MWENYEKITI.


Kwa niaba ya jumuiya ya tanzaseattle na jumuiya ya watanzania wote hapa Washington state mimi...Ndugu A.Dola(Public Relation Officer)ninawataarifu kua kutakuwa na uchaguzi ya nafasi ya uwenyekiti wa chama chetu...


Nafasi hizo mbili kwa sasa zana gombaniwa na Ndugu..Emil muta na Ndugu Fatma al Tamim.Ikumbukwe ya kwamba haya ni MARUDIO sababu katika duru la kwanza uliofanyika tarehe 21sept 20214 wagombania wote walipata kura sawa,nafasi ya wagombea wengine wote walipita bila kupigwa majina wao yote na nafasi zao nitaziambatanisha baada tuu ya uchaguzi


Tarehe,saa na address ya uchaguzi Nov 2nd 2014 kuanzia saa 9 mchana...3pm anuani ni 411 156th ave n.e. Bellevue wa 98006 Asanteni wote...
WENU MAYOR OF SEATTLE...A.DOLA...kwa habari zaidi piga simu....206 422 3050 wakati wowote..

No comments: