Advertisements

Thursday, October 23, 2014

WABUNGE WA KAMATI YA UCHUMI VIWANDA NA BIASHARA WATEMBELEA KIWANDA CHA KONYAGI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa wa pili kulia akiwaongoza wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara kutembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kushoto akifafanua jambo mbele ya 
wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara walipotembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Ofisa wa Kampuni ya Konyagi Bw, Alex Sanamba kulia akiwaonesha kinywaji cha zanzi wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara walipotembelea kiwanda hicho
Wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara wakiangalia mashine inayotengeneza konyagi ya kiroba
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kushoto akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya uchumi viwanda na biashara Bw, Luhaga Mpina na Dr. Terezya Huvisa walipotembelea kiwanda hicho kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa
Mjumbe wa kamati ya Uchumi viwanda na biashara Bi. Naomi Kaihula kushoto akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa pamoja na Mkurugenzi msaidizi kutoka wizara ya viwanda na biashara Bw. Deo Ndunguru walipotembelea kiwanda cha Konyagi kujionea mambo mbalimbali
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kulia akielekeza shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo

No comments: