Wadau waliohudhuria mkutano wa DICOTA 2014 wakipata kifungua kinywa ndani ya mgahawa wa Millennium Hotel, Durham, North Carolina nchini Marekani.
Wadau waliohudhuria mkutano wa DICOTA 2014 waliokuwa wamesalia hotel ya Millennium wakisubili usafiri wa kuwapeleka uwanja wa ndege warejee makwao akiwemo mkuu wa kitengo cha Diaspora Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bi. Rosemary Jairo, Rosemary Malale, Mhe. Mbunge wa Diaspora Kadari Singo, Mkurugenzi Mkuu wa Azania Bank Bw. Charles Singili, Bwn Kapuya wa California wakiwa na mwenyeji wao Nassoro Basalama wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya hoteli hiyo.
No comments:
Post a Comment